Daktari wa Simba Yassini Gembe amesema hali ya mshambuliaji Emmanuel Okwi aliyeumia jana kwenye mchezo dhidi ya Azam Fc inaendelea vizuri
Okwi alipata jeraha la kuchanika chini ya jicho baada ya kugongana na mlinzi wa Azam Fc Bruce Kangwa katika dakika ya 72
Gembe amesema mshambuliaji huyo wa Kimataifa wa Uganda ameshonwa nyuzi mbili
No comments:
Post a Comment