We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Sunday, February 24, 2019

Fanya Hivi Ili Tendo la Ndoa Liwe na Msisimko Zaidi


Swala la mapenzi ni muhimu na kawaida kwa binadamu asa pale muda wake unapofika. Yafuatayo ni mambo unayoweza kufanya ili kuongeza hamu, utamu na ashiki kwa mwenzako ili kumridhisha na kuboresha uhusiano.


  • Kula chakula kiasi, kushiba sana kabla ya tendo la ndoa itakusababishia uchovu, usingizi na uvivu katikati ya tendo la ndoa. Epuka vyakula na vinywaji vinavyongeza nguvu kwani vitachangia kukuchosha wakati wa tendo.

  • Usibishane na mwenzio, hii itasababisha kupoteza nia na hamu ya kufanya tendo na hivyo kukukosesha raha katikati ya tendo. Epuka hasira na mawazo kabla na wakati wa tendo.
           
  • Usiwe na hofu juu ya mwili wako na maumbile yako, hii itakusaidia kujiamini na kujiheshimu mbele ya mwenza wako na jaribu kuweka mawazo sana katika sehemu ya mwili wako na mwenzio unayoikubali zaidi.

  • Usitegemee mengi na mazuri tu, kumbuka miili ya binadamu iko tofauti hivyo jiandae kukubaliana na lolote asa unapofanya tendo kwa mara ya kwanza au na mpenzi mpya usitegemee kuridhishwa muda wote.

  • Usipige nyeto kabla ya tendo la ndoa hii itapunguza hamu ya tendo la ndoa au kufika kileleni mapema.

  •  Usifanye mapenzi kimya kimya, ongea au toa sauti pale unaposkia raha itasaidia kuongeza hamu na kumfurahisha mwenzio.

  • Mridhishe mwenzio, hakikisha mwenzio anafika kileleni hata kwa kuzuia mshindo na kukojoa haraka.

  • Punguza uzito, kaa mkao na mtindo unaokufanya kuwa mwepesi na usiwe mzigo kwa mwenzio.



  • Usianze tendo kabla mwenzio hajawa tayari itakufanya. hii itasababisha maumivu na usumbufu kwake.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list