We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Saturday, February 23, 2019

BREAKING: Yanga yapata pigo, Mwenyekiti wa Kamati afariki dunia


Taarifa zilizotufikia zimeeleza Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya klabu ya Yanga, Mustapha Urungu amefariki dunia. 

Mtoto wake wa kiume, Nasri Urungu amesema baba yake amefariki dunia akiwa nyumbani kwake Temeke, jijini Dar es Salaam baada ya presha kushuka.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list