Msanii Rayvanny akiwa na Boss wake ‘Diamond Platnumz’ toka WCB wameileta audio ya wimbo wao mpya, ‘Tetema’
Wimbo umetengenezwa na producer S2Kizzy na kumaliziwa na Lizer Classic.Unaweza ku download baada ya kusikiliza hapo chini.
Isikilize hapa.
No comments:
Post a Comment