Ukiondoa timu za Azam Fc na Yanga ambazo zinapaswa kucheza mechi zao za viporo wiki hii, ligi itasimama kwa takribani wiki tatu kupisha kalenda ya michuano ya Kimataifa
Mabingwa wa Tanzania Simba watashuka tena dimbani Oktoba 23 kuikabili Azam Fc
Baadae watasafiri kwenda mkoani Singida kuikabili Singida United mchezo ukitarajiwa kupigwa Oktoba 27
Oktoba 30 Simba itakuwa Shinyanga kuumana na Mwadui FC
No comments:
Post a Comment