We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, September 10, 2019

Yanga kushuka dimbani Leo

Kikosi cha Yanga leo kitashuka kwenye uwanja wa Nyamagana mkoani Mwanza kucheza na Toto Africans ukiwa ni mchezo wa kirafiki
Yanga iko mkoani Mwanza kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya ZESCO United ambao utapigwa Jumamosi Septemba 14 kwenye uwanja wa Taifa
Baada ya juzi kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Pamba Fc, leo mabingwa hao wa kihistoria watakamilisha ratiba yao ya michezo ya kirafiki mkoani Mwanza
Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam kuwasubiri ZAESCO United

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list