We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, September 11, 2019

VIDEO: Steve Nyerere ana mbwembwe “Nilitoa Milioni 20 kuwapa waganga”

Baada ya ushindi wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars wa kuingia hatua ya Makundi ya kuwania kufuzu World Cup 2022 nchini Qatar kufanikiwa kwa Tanzania kupata ushindi wa penati 3-0, baada ya dakika 120 kumalizika kwa aggregate ya 2-2.
Steve Nyerere ambaye alikuwa sehemu ya kama timu ya hamasa ya Taifa Stars na kuhamasisha mashabiki kwenda uwanjani, jana alijitokeza kushukuru watanzania na watu mbalimbali kwa kujitokeza na kuinga mkono Taifa Stars alitia maneno ya utani kuwa amewapa milioni 20 waganga wafanye mambo katika mechi ya Taifa Stars dhidi ya Burund.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list