Mchezo wa kwanza wa kusaka tiketi ya kutinga fainali za michuano ya CHAN kwa wachezaji wanaocheza ndani kati ya Tanzania dhidi ya Sudan, utapigwa Jumapili ijayo, Septemba 22 kwenye uwanja wa Taifa
Timu hizo zitarudiana Oktoba 18 nchini Sudan
Kaimu kocha Mkuu wa Stars Etienne Ndayiragije mapema leo alitangaza kikosi cha wachezaji 25 ambacho kitaikabili Sudan
Mchezo huo wa Stars umepelekea kutokuwepo kwa michezo ya Ligi kuu.

No comments:
Post a Comment