We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, September 13, 2019

SHERIA ITAKAYOTOA ADHABU KWA WANAOPIGA PICHA ZA MAITI

Prof. Adelardus Kilangi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali amewasilisha muswada wa sharia ya marekebisho ya sharia mbalimbali (Na.6) wa mwaka 2019 katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Moja ya sharia ambayo imerekebishwa ni sheria ya kanuni za adhabu sura ya 16, marekebisho yanalenga kuongeza adhabu ya faini ili kuondoa adhabu zilizopitwa na wakati kutokana na hali ilivyo sasa, kifungu kipya kinapendekeza kuongezwa ili kutoa adhabu kwa watu wanaotumia au kusambaza picha za maiti, waathirika wa majanga na matukio ya kutisha yanayohatarisha Amani au kuingilia utu wa mtu

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list