We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, September 16, 2019

RC MWANRI AZINDUA KAMPENI FICHUA UHARIFU, KURA ZA SIRI ZAMUIBUA DIWANI NA MCHUNGAJI WAIBUKA VINARA

RC wa TABORA AGGREY MWANRI kwa kushirikiana na jeshi la polisi mkoa wa Tabora wamezindua kampeni ya kudhibiti uharifu unaoendelea kukithiri katika baadhi ya maeneo ya mkoa huo Akiwa katika kata ya Mabama wilaya ya Uyui ameendesha zoezi la kura za siri "Tutapiga kura za siri na tunataka mtutajie watu wote wanaotusumbua hapa mtu akitajwa na watu 40 swali letu ulikaakaaje" RC MWANRI

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list