We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Sunday, September 29, 2019

Makonda Awaomba Mawaziri Wamvumilie....Awataka Wasitishe Ziara Zao Dar es Salaam Kwa Muda

RC Paul Makonda amewaomba Mawaziri wamvumilie mwezi huu na Oktoba, kwani sasa anafuatilia maagizo ya Rais, na yaliyojiri kwenye mkutano wake na watendaji wa mkoa, ametoa kauli hiyo siku moja tu baada ya Waziri wa TAMISEMI kumpa siku 14 awe amepata muafaka wa ujenzi wa Soko la Kisutu.

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma Habari MPYA

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list