Pichani juu, beki Abdallah Shaibu 'Ninja' akiwa na nahodha wa LA Galaxy Zlatan Ibrahimovic kwenye mazoezi ya kikosi cha timu hiyo
Ninja anacheza LA Galaxy kwa mkopo akitokea klabu ya MFK Karvina ya Jamhuri ya Czech ambayo ilimsajili akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba na Yanga


No comments:
Post a Comment