We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, September 16, 2019

Naibu waziri amwaga chozi akitoa taarifa ya aliyepata upofu baada ya kushambuliwa

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amejikuta akitokwa na machozi alipokuwa akitoa taarifa ya hali ya Mwenyekiti wa Kitongoji cha Londo Michael Nicholaus baada ya kufahamika kuwa mwenyekiti huyo hatakuwa na uwezo wa kuona tena kutokana na kushambuliwa na watu wasiojulikana huko Kibiti.

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list