Uwanja wa nyasi asili unaomilikiwa na klabu ya Simba huko Bunju, uko katika hatua za mwisho kukamilika
Nyasi za uwanja huo zimeendelea kushamiri hivyo kuweka matumaini kuwa huenda utaanza kutumika mwezi ujao kama uongozi wa Simba ulivyoeleza
Wakati uwanja huo wa nyasi asili ukiwa unaelekea kukamilika, tayari nyasi bandia zimewasili kwa ajili ya uwanja mwingine
Simba itakuwa na viwanja viwili Bunju, kimoja cha nyasi za asili na kingine cha nyasi bandia

No comments:
Post a Comment