We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Sunday, September 1, 2019

"MNAPIGA POMBE SANA HALAFU MNALALAMIKA MAISHA MAGUMU"-RC MWANRI

Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amewataka wananchi kujikita katika shughuli za kujiletea maendeleo na kuacha kuwalalamikia viongozi Akizungumza na wananchi wa kata ya Miswaki wilaya ya Uyui katika ziara ya ukaguzi wa barabara zilizochini ya TARURA amesema "maana ya kulalamika ni kwamba umechoka kufikiria" RC MWANRI

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list