Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemuweka ndani Mwenyekiti na Mweka hazina wa Jumuiya ya Maji ya Mtaa wa Msaraza Wilayani Pangani kutokana na upotevu wa fedha kiasi cha zaidi ya Milioni 35 za mradi huo.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment