We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, September 4, 2019

Magufuli hoi kwa kucheka Mchungaji Mgogo akiongea “Mimi mbumbu nimekimbia umande” (+video)

Moja ya Wachungaji waliopata nafasi ya kuzungumza mbele ya Rais Magufuli leo September 4, 2019 ni Mchungaji Daniel Mgogoambapo amewaacha watu hoi kwa vicheko ukumbini wakati akieleza juu ya Ukandarasi ndio ilikuwa moja vitu vya awali MUNGUkufanya.
“Tumewasomesha mmesoma, mtusaidie Sisi tuliokimbia umande, mnatuuzia Viwanja ambavyo vipo barabarani, tunawaomba na nyie mtujengee mnapima tu! bila kutuambia, Sisi ambao hatuna elimu hiyo, Watoto wa Mjini wajanja” – Mch. Daniel Mgogo Mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list