We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Sunday, September 8, 2019

Kuziona Yanga vs ZESCO United kiingilio Buku Tatu tu

Uongozi wa Yanga umesikia kilio cha mashabiki wake baada ya kupunguza viingilio vya mchezo wa ligi ya mabingwa kati ya Yanga dhidi ya ZESCO United utakaopigwa Jumamosi ijayo kwenye uwanja wa Taifa
Kiingilio cha chini kabisa Mzunguuko ni Tsh 3,000/- wakati VIP B na C kikiwa Ths 10,000/-
VIP A ni Tsh 25,000/- na Royal ni Tsh 100,000/-
Hii ni nafasi kwa Wanayanga kuujaza uwanja wa Taifa na kuongeza hamasa kwa wachezaji kwenye mchezo huo

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list