We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Sunday, September 29, 2019

Jafo amtaka Makonda kumaliza tofauti za kiutendaji ujenzi wa daraja Kisutu ampa siku 14

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jafo amempa siku 14 Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam kuhakikisha kuna makubaliano baina ya manispaa ya Ilala na Wakala wa barabara nchini TANROADS baada ya kutofautiana juu ya ujenzi wa daraja linalounganisha soko la Kisutu na Kituo cha basi cha mwendo wa haraka jijini Dar es Salaam.

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma Habari MPYA

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list