We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, September 17, 2019

IGP Sirro afanya mabadiliko kwa RPC

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amefanya mabadiliko ya kikazi kwa Makamanda wakuu wa Mikoa minne hapa nchini.


Taarifa iliyotolewa leo Septemba 17 na Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime, imeeleza kuwa mabadiliko hayo ni ya kawaida katika uboreshaji wa utendaji wa kazi kwa jeshi hilo.
Mabadiliko hayo yamemhusisha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Wilbroad Mutafungwa aliyehamishiwa Makao Makuu na nafasi yake imejazwa na Hamis Issah aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro.
Makamanda wengine ni pamoja na Saidi Hamdani aliyekuwa Njombe, ambaye amehamishiwa Kilimanjaro na Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Geita, Daniel Sillah anayekwenda kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list