We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, September 30, 2019

Hizi hapa zilizofuzu 16 bora kombe la Shirikisho

Timu zote 16 zilizofuzu hatua ya 16 bora kombe la Shirikisho zimefahamika baada ya kukamilika kwa michezo ya marudiano, raundi ya pili
Timu hizo 16 zinaungana na 16 zilizotolewa raundi ya kwanza michuano ya ligi ya mabingwa ambapo zitachuana kupata 16 zitakazocheza makundi
Katika hatua hii timu zilizotoka ligi ya mabingwa zitaanzia michezo yao nyumbani dhidi ya zile zilizofuzu Shirikisho
Yanga itapangwa na moja ya timu zilizofuzu baada ya michezo ya jana
Hizi hapa timu zilizofuzu Shirikisho;
1.RS Berkane (Morroco)
2.Al Masry(Egypt)
3.Hassania Agadir (Morroco)
4.Zanaco (Zambia)
5.Enugu Rangers (Nigeria)
6.Djoliba (Mali)
7.Esae(Benin)
8.DC Motema PEMBE (DRC)
9.FC San Pedro(Ivory Coast)
10.Bandari (Kenya)
11.Bidvest Witts(South Africa)
12.Ts Galaxy (South Africa)
13.Ploline (Uganda)
14.Triangle (Zimbabwe)
15.Pyramids (Egypt)
16.Paradou (Algeria)
Mpinzani wa Yanga kwenye hatua ya mtoano huenda akatoka kati ya timu namba 7 mpaka 16

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list