We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, September 4, 2019

BREAKING: Ndege ya Air Tanzania Iliyokuwa Inashikiliwa Afrika Kusini Yaachiwa Huru

Leo September 4, 2019 Mahakama Kuu ya jimbo la Gauteng imeamuru ndege ya Air Tanzania iliyokuwa ikishikiliwa nchini Afrika Kusini kuachiwa mara moja.
Na kwa taarifa za awali zinasema ndege hiyo ipo njiani kurejea Dar es Salaam ikitokea katika uwanja wa ndege wa OR Tambo jijini Johannesburg.
“Mahakama Kuu ya Gauteng, Afrika Kusini, leo imetoa hukumu na kuamuru kuwa ndege ya iliyokuwa ikishikiliwa nchini humo iachiwe na mlalamikaji alipe gharama za kesi. Tunawashukuru wote kwa uvumilivu wenu”Msemaji Mkuu wa Serikali

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list