We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, September 13, 2019

Aussems afurahia kiwango Simba

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems ameeleza kufurahishwa na kiwango kilichoonyeshwa na wachezaji wake kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar uliopigwa leo uwanja wa Uhuru na Simba kuibuka na ushindi wa mabao 2-1
Akizungumza baada ya mchezo huo, Aussems amesema timu ilicheza vizuri na wangeweza kuibuka na ushindi mnono zaidi kama wangetumia nafasi nyingi walizotengeneza
Mbelgiji huyo amesema atafanyia kazi mapungufu yaliyojitokeza hasa kwenye umaliziaji
"Tumecheza mchezo mzuri dhidi ya timu nzuri. Tumemiliki mpira na kutengeneza nafasi ambazo zimewezesha kufunga magoli mawili tu lakini tulikuwa na nafasi ya kufunga magoli mengi zaidi. Tutafanyia kazi zaidi hilo ili kutumia vizuri nafasi nyingi ambazo tunazipata," amesema

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list