Jeshi la Polisi Mkoani Kagera linawashikilia Watumishi wanne na Wanafunzi 11 wa Shule ya Katoro Islamic Seminary iliyopo Bukoba Mkoani Kagera kwa tuhuma za mauaji ya aliyekuwa Mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule hiyo Mudy Mswadiku miaka 19 kwa kumhisi anajihusisha na mapenzi ya Jinsia moja.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment