We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, September 11, 2019

Alieteuliwa na JPM kuwa Mwenyekiti wa Bodi Airtel Nundu afariki

Leo September 11, 2019 Waziri wa zamani wa Uchukuzi katika serikali ya Awamu ya Nne na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa wa Kampuni ya Simu Airtel Tanzania, Dk. Omar Nundu amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Nundu kabla ya Kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Aitel Tanzania June 2019 alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL tangu Februari 2017.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list