Alichozungumza David Molinga baada ya kuifungia Yanga mabao mawili
Timu ya Wananchi, Yanga SC leo imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Toto Africans ya Mwanza katika mchezo wa kirafiki uliopigwa kwenye Uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza.
Magoli ya Yanga yamefungwa na David Molinga aliyefunga mawili dakika ya 36 na 40 huku la tatu likifungwa na Abdul-aziz Makame dakika ya 48.
Mara baada ya mchezo, mfungaji wa mabao mawili David Molinga raia wa DRC amezungumza na kutoa ujumbe huu kwa wana Yanga
Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya
No comments:
Post a Comment