Abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Mkoani Kigoma kwenda DSM na basi kampuni ya ARIZONA wamegoma kuendelea na safari katika kituo cha mabasi Tabora Mjini kwa madai kuwa gari hilo lina kunguni huku Jeshi la Polisi likizuia gari hilo.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment