We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, August 23, 2019

Wananchi walalamikia gharama za vitambulisho

Wakati uandikishaji wa vitambulisho vya taifa ukiendelea, baadhi ya wananchi ambao wamepata vitambulisho katika maeneo mbalimbali na kukuta jina moja ua mawili yamekosewa, wameonekana kuchanganyikiwa baada ya kusikia kuwa watatakiwa kulipia shilingi elfu ishirini za kitanzania ili kusahihi

East Africa Drive baada ya kupata malalamiko hayo kutoka kwa baadhi ya wananchi, walifanyia kazi kwa kumtafuta Msemaji wa Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa NIDA, Thomas William ambaye amesema, “Utaratibu ni kwamba kitambulisho kikikosewa majina au hata tarehe na mwaka wa kuzaliwa, kuna fursa ya kubadilisha kwani kinacholengwa ni kuwa na taarifa sahihi za mtu".
"Kuhusiana na malipo ni kwamba mtu atatakiwa kulipa elfu ishirini kama muombaji mwenyewe anataka kubadilisha majina yake mara baada ya kubadili dini au kwa namna yoyote vile lakini napo lazima afuate taratibu za kubadili majina”, ameongeza Thomas.
Msikilize zaidi hapo chini;

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list