VIDEO: MFAHAMU RAIS VALENTINE STRASSER KUTOKA IKULU MPAKA KUISHI KWENYE MABANDA KAMA KUKU
Valentine Strasser alizaliwa Sierra Leon, nchi iliyobarikiwa utajiri wa almasi ikalaaniwa akili za kuitumia. Kati ya nchi 10 zenye almas nyingi duniani, Siera Leone imo. Ya kwanza ni Urusi, Botswana, DRC, Austrelia, Canada, Zimbabwe, Angola, South Africa, Namibia na Searra Leone ya mwisho. Tanzania haimo. Cha kushangaza tangu uhuru wananchi waliishi gizani na kujisaidia vichakani kama ngedere. Watawala walikula na watawaliwa kutoa vyombo. Waliobahatika walikula wali wa ndevu!
Pamoja na utajiri wote, neno mshahara lilikuwa msamiati katika maskio ya watumishi wa umma kama ilivyo kwa sekta binafsi Tanzania. Siku hizi eti Tanzania kuna watu wanakufa kwa kukosa salary. Habari kama hizi hazipendezi kuzisikia hasa zinapotoka kwenye ardhi ya mitume na manabii.
Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya
No comments:
Post a Comment