We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, August 1, 2019

“Ukinyonyesha matiti yanaharibika?, watu wanaonyonyesha watoto kumi na bado saa sita ”-Waziri Ummy

Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ametoa tahadhari kwa wanawake wote ambao wamekuwa na tabia ya kutonyonyesha watoto wao kwa shana kwamba maziwa yao yataharibika pindi watakaponyonyesha kwa muda mrefu, Waziri Ummy ametoa maelekezo hayo leo August 1, 2019 wakati akizindua maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji.
Kuna watu wanasema ukinyonyesha maziwa yanaharibika, muwaambie jamani lakini kuna saratani na sio kweli hata tumeona watu wamenyonyesha watoto kumi na bado saa sita ukiwaangalia”- Waziri Ummy Mwalimu

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list