We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Sunday, August 18, 2019

Ombi la Burundi kujiunga na Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) Lakataliwa

Ombi la nchi ya Burundi kujiunga na Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), limegonga mwamba baada kutokamilisha vigezo katika baadhi ya maeneo.

Hayo yamesemwa leo Jumapili Agosti 18 na Rais Dk. John Magufuli wakati akihitimisha mkutano huo wa siku mbili ulioanza jijini Dar es Salaam jana.

Aakizungumzia hatua liyofikiwa kuhusu nchi hiyo kuweza kujiunga, amesema ilibainika kuwa bado kuna maeneo ambayo hayajakamilika vizuri.

“Mkutano umeielekeza sekretarieti kuiarifu Burundi kuhusu maeneo ambayo hayajakamilika ili yafanyiwe kazi na hatimaye kutumwa tena kwa timu ya uchunguzi  kwa ajili ya hatua nyingine za baadaye,” amesema.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list