We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, August 20, 2019

Mechi dhidi ya UD Songo kupigwa saa kumi jioni

Uongozi wa klabu ya Simba umepanga muda wa mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya UD Songo
Mchezo huo utapigwa Jumapili August 25 saa 10 jioni
Msemaji wa Simba Haji Manara amewataka mashabiki kuendeleza utamaduni wa kuiunga mkono timu yao kwenye michuano hiyo kwa kujaza uwanja siku ya Jumapili
"Kwetu mashabiki sio mchezaji wa 12, ni mchezaji wa kila nafasi uwanjani. Tunashinda lakini mashabiki wanachangia sana," Manara aliwaambia waandishi wa habari kwenye Mkutano uliofanyika Serena Hotel
"Simba ndio timu ambayo imeongoza msimu uliopita kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kujaza mashabiki uwanjani. Tunataka tuliendeleze hilo mwaka huu"
"Na bahati nzuri mchezo wetu wa Ligi ya Mabingwa umepangwa siku nzuri. Utakuwa Jumapili saa 10 jioni"
"Tunataka mashabiki mshabikie mwanzo mwisho, tusisubiri mpaka Shiboub apige mtu chenga, mashabiki tunaenda uwanjani kushabikia"
"Kwa mashabiki wa Simba hii ni Champions League, kazi yetu mashabiki ni kushabikia, twendeni"
"Matumaini yangu tutawatoa UD Songo. Kwa maandalizi yetu, mipango na mapenzi ya Mungu tutashinda"
"Tunawategemea mashabiki waje kutujazia uwanja, waje kutushangilia. Nawaomba Wanasimba tuje kwa wingi kuhakikisha tunaenda kujaza uwanja na tunashinda."

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list