We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, August 21, 2019

Manula, Ajib warejea kikosini Simba

Klabu ya Simba jana imepata ahueni ya majeruhi baada ya nyota wake wawili kuanza mazoezi na kikosi cha kwanza
Mlinda lango Aishi Manula na kiungo Ibrahim Ajib waliokuwa nje kwa takribani wiki mbili, jana wamerejeshwa kikosini baada kupona majeraha
Tangu wiki iliyopita Ajib, Manula na Da Silva walikuwa wakifanya mazoezi maalum
Simba imebaki na wachezaji wawili majeruhi ambao ni nahodha John Bocco na mshambuliaji Wilker Da Silva

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list