Kaimu kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Etienne Ndayiragije ameunda kikosi cha wachezaji 30 ambao wataivaa Burundi kwenye mchezo wa kusaka tiketi ya michuano ya kombe la dunia
Stars itaivaa Burundi Septemba 02 na Septemba 08, mchezo wa kwanza ukipigwa Burundi
No comments:
Post a Comment