We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, August 23, 2019

Idadi ya waliofariki ajali ya moto Morogoro yafikia 101

Idai ya watu waliofariki dunia kutokana na ajali ya lori la mafuta lililolpinduka na kuwaka moto mkoani Morogoro Agosti 10 mwaka huu imefikia 101, baada ya majeruhi mwingine kufariki dunia leo Agosti 23 akiwa kwenye matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Majeruhi waliosalia hadi sasa ni 14

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list