We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, July 2, 2019

TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA LEO JUMANNE

Kocha wa United, Ole Gunnar Solskjaer amewaambia wakuu wa klabu hiyo kumsajili kiungo wa kati wa Newcastle Muingereza Sean Longstaff, 21, kwa mshahara wa pauni milioni 21 kwa wiki. (Star)
Barcelona wako tayari kulipa euro milioni 100 ya kumwezesha mshambuliaji wa Inter Milan Muargentina Lautaro Martinez, 21 kuondoka klabu hiyo kabla mkataba wake kukamilika. (Corriere dello Sport - in Italian)
Ofa ya Manchester United ya £31m ya kumnunua kiungo wa kati wa Ureno Bruno Fernandes, 24, imekataliwa na Sporting Lisbon. (Gazzetta dello Sport, via Express)
Kocha wa zamani wa Newcastle Rafael Benitez amekubali kujiunga klabu ya Uchina ya Dalian Yifang kwa mkataba wa thamani ya euro milioni 12 kwa mwaka baada ya kuondoka St James Park. (Sky Sports)

Bruno FernandesHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionBruno Fernandes

Ni rasmi sasa Meneja wa Derby County Frank Lampard amerejea Chelsea baada ya mchezaji huyo wa zamani wa blues kutia saini mkataba pauni milioni 4 kwa mwaka. (Mail)
Rams wanajiandaa kufanya mazungumzo na kiungo wa kati wa zamani wa Uholanzi Phillip Cocu wikii kabla ya Lampard kuondoka. Cocu alitupwa nje na kocha wa Fenerbahce mwezi Octoba. (Telegraph)
Kiungowa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 26, amekuwa akifanya mazoezi mjini New York licha ya wachezaji wenzake kurejea kambini kwa mazoezi ya kabla ya msimu mpya kuanza. (Sun)

pogbaHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionpogba

Arsenal wanashauriana na mshambuliaji wa Algeria, Yacine Brahimi 29 ambaye yuko huru na kujiunga na klabu nyinhine baada ya kuhama Porto. (Sky Sports)
Gunners pia wamepewa nafasi ya kusaini mshambuliaji wa Lyon na Ufaransa Nabil Fekir - kwa uero milioni 30. (Mirror)
Winga wa Manchester City Mjerumani Leroy Sane ameangaziwa katika uzinduzi wa jezi za msimu wa mwaka 2019-20, licha ya tetesi kuwa Bayern Munich wamekuwa wakimnyatia nyota huyo wa miaka 23. (Express)

Leroy SaneHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionLeroy Sane aliisaidia Ujerumani kufuzu kwa nusu fainali ya michuano u a kombe la Euro 2016

Crystal Palace wanamtaka mlinzi wa Arsenal Muingereza Carl Jenkinson, 27, kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na mlinzi Aaron Wan-Bissaka, ambaye amejiunga na Manchester United. (Sun)
Gunners wanajiandaa kuweka dau la pauni milioni 12 kumnunua mshambuliaji wa Hull City wa miaka 22-year- Muingereza Jarrod Bowen. (Sun)
Mshambuliaji wa Uholanzi Hossein Zamani, 16, amevifahamisha villabu vya Manchester United, Manchester City na AC Milan kuwa aAjax. (Mail)

Tetesi Bora Jumatatu

Manchester United wameshaafikiana kuhusu matakwa binafsi na mshambuliaji wa Sevilla Wissam Ben Yedder, 28. Mshambuliaji huyo raia wa Ufaransa anatarajiwa kujiunga na mashetani hao Wekundu endapo mshambuliaji wa Ubelgiji Romelo Lukaku atauzwa ama la. (Express)

Romelu LukakuHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionRomelu Lukaku

Liverpool wanaweza kumrudisha kiungo mshambuliaji wa Brazil Philippe Coutinho, 27, baada ya mchezaji huyo kushindwwa kuwa na wakati mzuri kwenye klabu ya . (Le10 Sport, via Mirror)
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amesema hana uhakika kama Neymar, 27, atakuwa na makali yaleyale aliyokuwa nayo kabla atakaporejea klabu ya Barcelona akitokea klabu ya Paris St-Germain. (Ara, via Mirror

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list