We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, July 1, 2019

Chelsea waachana na Gonzalo Higuain


Klabu ya Chelsea imeaachana na aliyekuwa Mshambuliaji wake Gonzalo Higuain baada ya mkataba wake wa mkopo kuisha.

Mshambuliaji huyo raia wa Argentina, amefunga mabao 5 tu kwenye michuano yote akiwa na Chelsea. Higuain, alijiunga na Chelsea, kwa mkopo akitokea klabu ya Ac Milan.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list