Jana July 30, 2019 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa waraka kwa waandishi wa habari ambapo wametaka ufafanuzi juu ya matukio mbalimbali yanayotokea nchini ikwemo kukamatwa kwa Mwandishi wa habari za uchunguzi Erick Kabendera na kifo cha Ofisa wa Wizara ya Fedha.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment