We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Saturday, June 1, 2019

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa niaba ya Rais Magufuli, amehudhuria sherehe za kumwapishwa Rais wa Malawi, Prof. Arthur Peter Mutharika zilizofanyika jijini Blantyre, siku ya, Ijumaa, Mei 31, 2019. Awali, Waziri Mkuu alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chileka alipokelewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Malawi, Ben Botolo.

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list