Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Maswa Mashariki kupitia tiketi ya CHADEMA, Slivesta Kasulumbai, ambaye amehamia CUF Jumamosi hii mna kupokelewa kwa sherehe kubwa, amemlipua Maalim Seif kwa kudai kuwa yeye ndio aliyesababisha mpaka akakihama chama hiko miaka iliyopita kwenda CHADEMA.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA
No comments:
Post a Comment