Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limezikana taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ambazo zinadai kuwa Rais wa TFF Wallace Karia amezitaka timu za ligi kuu kufanya usajili wa hela nyingi na kuacha kufanya usajili wa 'laki tano' na kuwataka kutolalamika ligi itakapoanza
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment