We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Sunday, June 30, 2019

RPC afunguka ajali iliyounguza magari

Gari mbili za mizigo, moja lenye namba za usajili scania T182 DCM lililokuwa linatokea Iringa kwenda Dar es salaam zimegongana uso kwa uso eneo la Ruvu mkoani Pwani, na kutekea kwa moto.

Kwa taarifa za awali bado haijafahamika kama ajali hiyo imesababisha kifo cha mtu yeyote.
Akizungumza na www.eatv.tv Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Wankyo Nyigesa  amesema wakati tukio linatokea yeye alikuwa kanisani hivyo atafutwe majira ya saa 7 mchana atakapokuwa ametoka kanisani ndipo atoe taarifa kamili.
"Wewe ndiyo unanipa taarifa kwa mara ya kwanza, kwa sababu niko kanisani itakuwa wasaidizi wangu wameshafika eneo la tukio, kwa hiyo naomba unitafute saa 7 mchana, nikiwa nimeshatoka kanisani na nitakupa taarifa kamili." amesema RPC Wankyo Nyigesa.
Www.eatv.tv inaendelea kufuatilia taarifa zaidi za ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list