We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, June 20, 2019

Mgombea urais Kenya akamatwa na bangi


Jeshi la Polisi nchini Kenya linamshikilia aliyekuwa mgombea kiti cha urais mwaka 2013, Jaffer Sora kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi kilo 445.
Sora alikamatwa leo June 20, katika mji wa Marsabit akiwa amehiifadhi bangi hiyo kwenye gari yake.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mashariki, Esther Kihiko alisema Sora mwenye umri wa miaka 45 alikamatwa na bangi hiyo ikiwa imehifadhiwa katika tela ya gari yake aina ya Prado akiisafisha kutoka nchini Ethiopia.
Polisi nchini Kenya waliesma Sora alikamatwa jana katika kizuizi cha polisi baada ya askari waliokuwa wakifanya doria kumshuku na kumfanyia upekuzi.
“Bada ya upekuzi ilibainika alikuwa amebeba kiasi hicho cha bangi hivyo alimpeleka katika kituo cha polisi Marsabit,” ilisema
Kwa mujibu wa kamanda Kihiko mtuhumiwa huyo atafikishwa mahakamani leo mara baada ya kukamilisha taratibu za kipolisi.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list