Michezo ya marudiano ya 'playoff' inatarajiwa kupigwa leo ambapo Kagera Sugar itarudiana na Pamba Fc mkoani Kagera wakati Mwadui Fc itaumana na Geita Gold mkoani Shinyanga
Michezo yote ya kwanza ilimalizika kwa suluhu ya bila kufungana
Ili kuepuka hujuma,michezo yote itarushwa mbashara na Azam Tv
No comments:
Post a Comment