We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, June 20, 2019

MANARA AWAONEA WIVU YANGA KUPEWA ARDHI NA MAKONDA AMUOMBA HILI

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amemuomba Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda kuifikiria klabu ya Simba kuipatia ardhi kama alivyofanya kwa Yanga na TFF
Akizungumza leo kwenye Harambee ya kuichangia Taifa Stars, Manara amesema Simba itakuwa kama imetengwa kama juhudi zote walizofanya msimu uliopita hazitatambuliwa
"Umewapa watani zetu ekari saba, leo TFF umewapa ekari 15, basi nasisi tunaomba utufikirie," amesema
"Mafanikio yote tuliyopata kwa kufika robo fainali ligi ya mabingwa msimu uliopita!, tulipambana lakini tunashangaa mbona hututaji katika neema hizi za ardhi?"
"Nakuomba sana Mkuu wangu, naamini hatuwezi kukosa ekari mbili..tatu nasi tujidai"

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list