Madereva wa magari ya mizigo kwenye eneo la Kurasini Mizani Jijini Dar es Salaam wamefanya mgomo kwa kuyaacha barabarani magari yao wakishinikiza kuondolewa kwa mizani iliyopo maeneo hayo.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment