Muigizaji wa Filamu Tanzania, Elizabeth Michael amefunguka tetesi za Mchumba wake Majizo kutoka kimapenzi na Vanessa Mdee.
Lulu ambaye yupo katika Mbuga ya wanyama ya Tarangire, Baada ya kuvuma tetesi hizo moja ya mashabiki wake amejitosa na kumuuliza Lulu kwenye ukurasa wake wa Instagram na msanii huyo hakusita kumjibu.
Shabiki wa lulu, Julietwairimu; Is it true your boo is dating Vanessa? Sweet i love you
Lulu: Hata sijui...sitembei na ile kitu yake kwa handbag.
No comments:
Post a Comment