Aliyekuwa kiungo wa Yanga Pato Ngonyani amejiunga na Polisi Tanzania kwa mkataba wa miaka miwili
Ngonyani ameichezea Yanga kwa misimu minne, mkataba wake umemalizika
Mwezi Disemba alitolewa kwa mkopo klabu ya African Lyon ambayo imeshuka daraja
No comments:
Post a Comment