Mshambuliaji wa Yanga SC Heritier Makambo ameaga na kuondoka rasmi nchini tayari kujiunga na timu yake mpya ya Horoya AC ya nchini Guinea huku uongozi wa Yanga ukimpa Baraka zake.
“Tunakutakia kila lakheri Heritier Makambo kwenye majukumu yako mapya huko uendako tunatambua na tunathamini sana mchango wako kwenye klabu yetu” – Taarifa ya Yanga imeeleza hilo.
No comments:
Post a Comment