Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhandisi Hamad Masauni amemuagiza Kamanda Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Hamis Issa kuchunguza Kikosi cha Usalama Barabarani Wilaya ya Sihabaada ya kutokea kwa malalamiko pamoja na Kijana mmoja wa bodaboda aliyepakia mishikaki kupita mbele yake bila kuchukuliwa hatua.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment